Social Icons

Pages

Saturday, July 31, 2010

KILA MBUZI ANAKULA KUTOKANA NA UREFU WA KAMBA YAKE JAMANI....


"jamani napenda supu ya kongoloooooo" Ugumu wa kuiandaa unaujua lakini?

"nikishamaliza, ntainjika jisufuria likiwa na maji ya kutosha,halafu nitatumbukiza haya makongolo tayari kwakutengeneza kitu cha supu ya kongolo...nina wateja wengi sana wanaokuja kununua supu hii" Maneno ya Jamaa hapa.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text