Social Icons

Pages

Saturday, July 31, 2010

DOOOOH!!! KAAAAAAZI KWELIKWELI......


Jamani huyu kaka hii wiki nzima nilikuwa nakutana nae njiani kabeba hicho alichebeba huku akilitaja jina la huyo aliyembeba kuwa anaomba wananchi wampigie kura. Waliokuwa wanamcheka walifanya hivyo, waliokuwa wakimzomea ilikuwa ruksa,waliokuwa wakimkubali na kumtusi vivyo hivyo...
swali nililokuwa nikijiuliza na mpaka sasa najiuliza ni kuwa "Jamaa anamapenzi na huyu aliye kwenye picha, ndo kazi inayompa chochote kitu,au ndo utaratibu tu wa safari hii???" Jamani mi mgeni mwenzenu...

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text