Wednesday, June 23, 2010
TIPTOP CONNECTION TAREHE 4 IRINGA...
Hawa jamaa j'pili ya tarehe 4 mwezi wa 7 mwaka 2010 watawasha moto ndani ya uwanja wa samora iringa Tz, katika kujitambulisha rasmi kwamba kwa sasa wameamua kufanya kazi kama familia zaidi tofauti na mwanzo ambapo wasanii wa chama hili walikuwa wakifanya kazi kila mtu kimpango wake, japo walikuwa wakifahamika kuwa wapo ndani ya familia ya tiptop.
Raha ya shughuri mwalike na mtu wako wa karibu....kwahiyo jamaa wamewaalika wasanii lukuki kama 1.Geez mabovu
2.Offside trick
3.Babu ayubu
4.Ney wa mitego
5.Spack
6.Barnaba na Linah
Mwenyeji wao Geez mabovu..
Babu ayubu atatoa hi kila upande siku hiyo..
Linah & Barnaba lazima watatujuza tu alietuma sms...hahhha hahh
Spack na Tunda pia watatukumbushia enzi zileeee...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment