Social Icons

Pages

Tuesday, June 15, 2010

MAkiRIkiRI IRINGA KWA UDUFUUUJU TU MLIONIOMBA ..


Kwasa Allen...kabla ya kila mtu kuelekea kwanye jukumu alilopangiwa,tuliamua tugonge ugangaa na nyake (ugali & nyama choma) kama hivi wapendwa...si unajua ukitingwa kukumbuka msosi huwa ni jambo la bahati? Karibu tuungane japo kwa hisia..hahah hahahh.

Aah,mage weee...onyesha ufundi mama.

Maneno sio sehemu husika hapa wandugu

"huwa sitaki masihara kwenye hiki kipindi aisee" Glory

Ne-mo & Bonnie

Hapa sasa tupo furuuuuuuuu(cizar,Mage na Kiduchu)

Kila kitu kipo vyenyewe,twawangoja nyie tu MAkiRIkiRI...

watoto pia walipata nafasi yakutoa burudani jamani kama hivi...

Leah na Kiduchu..Hata sikumbuki hii picha tulipigwa saa ngapi jamani lol!!

Kazi ilionekana aisee,hawa jamaa ni nooooooooma.

Baada ya kupoteza samora,shughuri ilihamia CLUB V.I.P usiku...mi sikwenda V.I.P maana nilichooooka kwelikweli.

1 comment:

 

Sample text

Sample Text