Saturday, April 3, 2010
HAWA WANAKUTAKIA PASAKA NJEMA MDAU....
karafiki kangu jamani jina limenitoka....nako kanakutakia pasaka tulivu.
mie na mzee wa mishemishe j-ree...
kaka mkuu raymond na emma
JML na mwalubadu
my mdogo neema na katoto lance
eddo boy na bahati alex
allen na sisy jema
gari ya maneno HATYA OMARY
mama liner nakati ya NEMS COLLECTION, duka linalouza pamba za watu wa lika zote mtaa wa uhindini iringa tz..
b-slay,glory na j-ree
mchizi wangu GEEZY MABOVU nae kanambia nikufikishie salamu hizi....jamani tusherehekee kwa amani kufufuka kwa bwana wetu yesu kristo. amani ya bwana na iwe nawe!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Pasaka njema !
ReplyDeletethanx mamaa, nawe pia sisy!!
ReplyDeleteZimetufikia hizo salamu....ila Blackberry yako ya kitochi imenivutiaaaaaa..
ReplyDeletehahaaha ahaha ahaha....
Pasaka Njema kwa Wooote
Na wewe pia! Have a great day!
ReplyDeleteLOL Othman mchokozi kumbe wewe?
ha ha ha...candy mama,utamuweza othman?nshamzowea na madongo yake mwenzio..hahaa hahaa.Mmh!haya bwana.. lol!
ReplyDelete