Monday, April 5, 2010
AHADI NI DENI...MATOKEO NDO HAYA MPENDWA WANGU.
vijana wa timu ya EBONY FM wakijiandaa kwenda uwanja wa samora kung'oa nyasi katika mpambano kati yao na timu ya IRINGA SALAAM CLUB. sikwenda uwanjani kukuchukulia picha wakiwa mtanangeni kutokana na kitingwa na majukumu mengine kwa office ila matokeo niliyapata...endelea kushuka chini ukutane nayo mdau.
mwalubadu akionyesha vidole vi3 kwa maana yakumkamua binadamu 3 bila...ha ha ha japo ahadi haikutimia ila alikuwa ni m1 ya waliozitikisa nyavu za IRINGA SALAAM CLUB.
beki no 5,kaka mkuu ray na ne-mo
mnyama wao ndo alifanya kazi ya kuwapeleka vijana kazini
jamaa wakiwa wanaelekea uwanjani kwenda kumchinja mtu kama walivyoniahid...haaha haaha,na mwisho wa siku wakatoka sale ya bao mbili kwa mbili. HONGERENI SANA WOTE JAMANI (EBONY FM NA IRINGA SALAAM CLUB) per more jah saaaaana wanawane...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kaka pale juu ni Mshambuliaji namba 5 au jezi namba 5?..kama sijaelewa.
ReplyDeleteManake Duniani kote washambuliaji hawachezi namba za chini 2 - 6,ingawaje wanaweza kuvaa jezi zilizoandikwa namba hizo mathalani 5
nlijichanganya kiduuuchu ila nadhani kwa sasa nimeenda sawa kaka si ndivyo? ahsante saana anselm kwakuliona hilo na kunikumbusha....nimefurahi saana,per more jah kaka.
ReplyDelete