Thursday, November 4, 2010
BATA HUYOOO MBEYA MKAMATENI JAMANI....
Mnyama wa Ebony fm jamani lol!
Robby, Allen & Hatya
Vipi vijana mwaangalia nini kwa makini hivyo, mbona mi sioni? Anhaa,nshaona ila ni siri yangu...hah hah hha.
Mmmh! Mwalubadu jamaniiii,nibakishie basi japo mayai mpenz..maliza yote kweli weye? hah hha hha,haya baba endelea kula bata mrefuuuuuuuuuuuuuuuu.
Mwalubadu & Fundi mitambo Achileus Desdel...biiiiiiz kwelikweli katika kuweka mambo sawa ndani ya uwanja wa Sokoine Mbeya.
Achileus baba, vipi choka sana wajameni? Vumiliaee,jumapili utapumzika thauuuuuwaaa...hah hah hha
Kitu cha stage kama ukionavyo, na bado chaendelea kuwekwa mzuka zaidi...aisee wakazi wa mbeya mmepewa upendeleo wa kipekee lol! Mshindwe nyie tu...
Mataa si ndo kama hivyo sasaaa, kwahiyo usiogope hata ukidondosha sindano yako utaiona bila wasi...hah hah hah
Dj Dulla,Mwalubadu,Greyson wa bomba fm mbeya na Allen
Mtangazaji wa bomba fm (jina nimelisahau),Mwalubadu,Hatya & Allen...sijajua hiyo ni ishara ya nini walimwengu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment