Friday, July 9, 2010
KIDUCHU KWA HEWA TENAAAA.....
pole sana wangu kwa kimya nilichokuwa nacho kwa muda wa takribani wik 2,kuna mambo mambo yalinibania tym ya kukuwekea chochote lakini kwa sasa naamini utakipata kile ulichokikosa kwa hako ka muda ama vipi mpendwa?
Tafadhali naomba nisamehe buuuuuure kabisa.... Leo nimejisikia kukuwekea picha picha tu na washkaji mambo mengine yatafuata muda unavyosonga so karibu teeeena.
Piga kimya mwanawane,siri yako...
Nemo & Mie
Aggy,Hatya,Saggy & Moris
Maggie na bibie Hatya kontena la maneno
Emma & J-ree kama kuna kitu wanakuelekeza hiviii??!
Hapa mbona mambo mkupina tuuu?! hah hah hha
"jamaniii ni naona aibu bwanaaa"
JML, J-ree na Anna
JML, Kiduchu & Anna
"Ne-mo usinitanie ohooo!"
Hapa sasa pouwaaaa...
Baridiiiiiiiiii.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Aggy umependeza huo unywele nimeupenda. Na wengine wote mmpendeza pia na poleni kwa baridi sio huku kwa sasa safi kabisa barafu yote imetoka na jua linawaka:-)
ReplyDeleteAhsante sana dada yasinta, ukija siku ir ntakupeleka ukasukwe kama mimi na utanoga zaidi...hahh hahh hha. pamojah sana sisy!!
ReplyDelete