Thursday, May 6, 2010
WAPENDWA MSIONE KIMYA JAMANI,MALARIA ILIKUBALIKA KWANGU.....
Poleni sana wapendwa kwa kuwaacha kibarazani kwangu muda mreeefu bila mwenyeji wenu kuwepo, nilikamatwa kwelikweli na hii kitu mpaka nikahisi sitorudi tena na kuungana nanyi katika kupeana viduchuuuuzi.
Ila kwa nguvu zake maanani bado nahema na libeneke linaendelea,
sifa na utukufu namrudishia yeye aliye juu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Pole mama,angu,na baridi lote la huko m'mbu wanatoka wapi??au ndo.........??????????
ReplyDeletePole sana kwa homa namshukuru mungu upo nasi tena.
ReplyDeletepole mwayegozz,ndio maana nilikuwa nikikatika hapa nakutana na nanihii tuu.kumbe ulikuwa unaumwagaaaaa???
ReplyDeletePole Da Mdogo.
ReplyDeleteSala kwako na uponyaji njiani kuja kwako
Much Luv and Blessings
PamoJAH
Pole sana Da'Mdogo.
ReplyDeletewe kija weweee?...et au ndo...??? haah ahaahh mwone kwanza, na othman nawe uchokozi tuu!!! ahsanteni saaaaaa jamani nduguzanguni,tuko pamoJah!
ReplyDeletePole sana dada. Natumaini sasa utakuwa unajisikia vema na bukheri wa afya...
ReplyDelete