Social Icons

Pages

Friday, May 28, 2010

NEY WA MITEGO KUISINDIKIZA THE DREAM TEAM CHIMALA...


Kikosi kimekamilika...(the dream team).
Kesho kazi itaonekana pande za chimala mbeya kati ya vijana toka Ebony fm (the dream team) na wadau wa ebony fm wa chimala, mtanange utakaofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari chimala.

Mwanamuziki toka dsm ney wa mitego nae atakuwepo na atachezea timu ya ebony fm, na baada ya kipute hicho usiku ney atadondosha bonge moja ya show kwenye ukumbi wa kumi bora hukohuko chimala kabla ya kufanya kweli tena trh 30 ndani ya Ebony club shimoni pande za mafinga.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text