Social Icons

Pages

Thursday, March 4, 2010

HUKU NI MVUA TU KWA KWENDA MBELE,LOL!


mtaa wa uhindini,kilamtu ndani...

lakini nje ya ofisi nikakuta vijana wanajaribu kuondoa baridi kwa kucheza huu mchezo ambao mpaka sasa sijaujua unaitwaje.(kutoka kushoto ni dj mubba, G-ndabagoye,mwalubadu na eddo boy)...kaaazi kwelikweli.

wengine nao ndo wanajipatia nafasi ya kufungulia maji machafu toka kwenye vyoo vyao..lool!

biashara tena zinakuwa hazitendeki,inabidi kujibanza sehemu kwanza hadi mvua ikatike ndo mchakato wa kujipatia chochote kitu uanze kuonekana kwaakina mama hawa.

1 comment:

  1. Duh!!!
    Poleni saana. Mvua ni baraka vijijini lakini mijiniiii.
    Tuulize sisi ikinyesha "Bukoba City". Hahahahaaaaaaaaaaa
    Blessings

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text