Social Icons

Pages

Monday, November 30, 2009

SILAZIMA KUTOKA WIK END, HATA KI HOME HOME MZUKA TU.


kiduchu sina neno mie,mara nyingi wik end ikinikuta free sina kazi kwa ofisi nyumbani kwangu ndo sehemu huwa na patikana muda woote.

mwandishi wa makala kupitia kazeti la mwananchi,sister tumaini msowoya alikuja kunitembelea wik end hii. ahsante kwa kampani yako dada nliipenda saaaaana,pa moja.

da tumaini ye kilichopo kwenye box ndo kilikuwa kinamfaa.

7 comments:

  1. teh teh teh....yaaaani, we acha tu da yasinta..ha ha ha.

    ReplyDelete
  2. Mbona picha yangu siioni na tulikuwa wote

    ReplyDelete
  3. teh teh teh... jamani BENNET usinifanyie hivyo..ha ha ha. nashangaa kwanini hukutokea wakati tulipiga wote.... ha ha ha ha. John ananisingizia sikutoka mie, ha ha ha.

    ReplyDelete
  4. MMhhh.... jamani mbona hatuitani??

    yaani ndio kimya kimya namna hiyoooo..hayaaaaa.

    kwema lakini?

    ReplyDelete
  5. teh teh teh...jamani pole,leo ningekualika sema ndo sipo home tena,nipo job mpaka saa7 usiku. huku kwema saaana mungu anasaidia kiukweli ndugu yangu.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text